DC Awaka: Sasa Mtajua Kama Wahehe Bado Tunajiua au Tunauaga Wengine
MKUU wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Senyi Nganga amwaacha watu hoi wakati akitoa maagizo kuhusu kusimamia pesa za miradi mbalimbali katika wilaya hiyo
"Sasa mtajua kama Wahehe bado tunajiua au siku hizi tunauaga…
