Mabondia wa Ndondi za Global TV Watambulishwa Rasmi, Jumapili Kazi Ipo!
JUMLA ya mabondia sita wanaotarajia kupanda ulingoni keshokutwa kushindania ubingwa Global TV, Afrika Mashariki na Kati leo wametambulishwa kwa waandishi wa habari katika mkutano ulifanyika Hoteli ya The Atriums iliyopo…
