Exclusive: Babu Seya Alivyofunga Ndoa Kanisa La Sinza Dar (Picha +Video)
MWANAMUZIKI mkongwe Nguza Viking almaarufu Babu Seya jana Septemba 7, 2019 amefunga ndoa na Bi Desderia Philip Haule katika Kanisa Takatifu Katoliki Parokia ya Bikira Maria, Sinza, jijini Dar es Salaam na kumalizia furaha hiyo kwenye…
