Nikki Haley Ajitosa Kumvaa Trump Urais Marekani Kupitia Chama cha Republikan
GAVANA wa zamani wa jimbo la South Carolina, Nikki Haley amesema kwamba atawania uteuzi wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republikan.
Uamuzi huo unamfanya Haley kukabiliana na bosi wake wa zamani rais Donald Trump,…
