RAIS ALIYEMVAA REFA NA BASTOLA ASABABISHA HAYA
BAO lililokataliwa dakika za mwishoni katika ligi ya soka nchini Ugiriki Jumapili iliyopita, lilimfanya rais wa klabu ya PAOK, Ivan Savvidis, kuingia uwanjani akiwa na bastola yake iliyokuwa kwenye kifuko chake kiunoni, kwenda kuzozana…
