Mfugale Kuzikwa Jumatatu Ifunda, Iringa
Mwili wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, aliyefariki dunia Juni 29, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, unatarajiwa kuzikwa Jumatatu ya Julai 5, 2021 nyumbani kwao,…
