#GlobalCars: Hizi Ndio Ndinga 10 Kali Zilizoshine Zaidi Kwenye Movie Ya Fast & Furious 8…
Kwa wale wadau wangu wa kuroll mtaani 'in everything nice rimz' basi naamini moja ya vitu vilivyotrend zaidi kwenu kwenye franchise movie ya Fast & Furious 8 ni pamoja na aina tofauti ya magari yanayoonekana kwenye movie…
