IGP Sirro Afanya Mabadiliko kwa Ma-RPC
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro, amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi, ambapo aliyekuwa RPC wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa, amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma na aliyekuwa RPC Morogoro, Wilbroad…
