Ronaldo Aiua Uswizi, Aipeleka Ureno Nusu Fainali UEFA
SUPASTAAwa soka, Cristiano Ronaldo, ameivusha Ureno kwa kuweka kambani mabao 3 'hatrick' dhidi ya timu ya taifa ya Uswizi katika hatua ya nusu fainali ya UEFA NATIONS LEAGUE mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Estadio do Dragao.…
