POSHY QUEEN AFUNGUKA KUDAIWA NA BWANA WA ZARI
DAR ES SALAAM: Modo matata Bongo ambaye jina lake lilishika kasi ya umaarufu kutokana umbo lake la kiuno cha nyigu, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ amemfungukia anayesemekana ni bwana mpya wa mwanamama mjasiriamali wa Uganda, Zarinah…
