Masha, Mkumbo, Mwigamba, Msando, Mwenyekiti BAVICHA Taifa Wajiunga CCM (Video)
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) ambayo inaendelea na vikao vyake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo iliwapokea na kuwarudisha katika chama hicho wanachama kadhaa kutoka vyama vya upinzani ambao walijitokeza mbele ya…
