Breaking: Lipumba Apitishwa Kugombea Uenyekiti CUF
BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) leo limewapitisha wanachama watatu wa chama hicho akiwamo Profesa Ibrahim Lipumba kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Wagombea wengine nafasi ya uenyekiti ni Diana…
