
Browsing Tag
PSPF
Pspf Yawazawadia Wafanyakazi Wake Kwenye Kilele Cha Wiki Ya Huduma Kwa Wateja Duniani
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, amewapongeza wafanyakazi wa Mfuko huo, kwa kazi nzuri wanayofanya ya kuwatumikia wateja, (wanachama) wa Mfuko.
Bw. Mayingu ameyasema hayo…
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2017: WATEJA NA WANACHAMA WA PSPF WAPATIWA HUDUMA ZA ZIADA
WATEJA wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wanaofika kwenye ofisi za makao makuu jengo la Jubilee Tower jijini Dar es Salaam ili kujipatia huduma katika kipindi hiki cha Wiki ya Huduma Kwa Wateja Duniani,…
VIDEO: PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezindua ofisi mpya mbili moja kisiwani Pemba na nyingine kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza.
Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam…
PSPF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Ujasiliamali Kilimanjaro
Washiriki wa Semina ya wachama wa PSPF wasitaafu watarajiwa semina hiyo ilifanyika jana katika Mkoa wa Kilima njaro.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Pesheni PSPF, Adam Mayingu, akisoma hotuba ya ukaribisho kwa mageni rasimi Mkuu wa…
PSPF Yawapiga Msasa Wastaafu Watarajiwa Zaidi Ya 300 Mkoani Mwanza
Meneja Pensheni wa PSPF, Bw. Mohammed Salim, akitoa mada juu ya maandalizi na fursa za wastaafu
Afisa Mwandamizi wa Utafiti wa PSPF, Bw. Mapesi Maagi, akigawa vitendea kazi kwa washiriki wa semina mwanzoni mwa mafunzo hayo
…
Mfuko wa PPF Waendelea Kukabidhi Vifaa Tiba
Mfuko wa Pensheni wa PPF umeendelea kukabidhi vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya nchini kulingana na sera yake ya uchangiaji na udhamini. Katika wilaya ya Kisarawe, Mfuko wa PPF umekabidhi vifaa tiba hivyo kwa Naibu Waziri wa…
PSPF Yatoa Elimu kwa Wastaafu Zanzibar
Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo chini ya Ufadhili wa PSPF kwa Kutoa Elimu ya Kujiunga…
PSPF Yazidi Kujitanua Hadi Vyuo Vikuu
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Msanii wa majigambo, Mrisho Mpoto, akitoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSS, na umuhimu wa wanafunzi wa UDSM kujiunga na Mfuko huo kupitia Mpango wa uchangiaji wa…
PSPF wapeleka huduma mpya ya Bima ya Afya Majira, Mwananchi
Mkurugenzi wa Mipango naUwekezajiwa PSPF, Bw. Gabriel Silayo (wanne kushoto) akisisitiza jambo katika kikao kazi kilichowakutanisha watendaji wakuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF na Business Times. Menejimenti ya PSPF ipo katika ziara ya…