Queen Masanja: Kuolewa Mke Mwenza ni Kazi Sana, Sitamani Kuolewa – Video
Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha mvurugano mkubwa amefunguka kupitia kipindi cha Mapito ndani ya Global TV na Global Radio na kuelezea kuwa kuolewa…
