Kijana kuwashtaki wazazi wake kwa kumzaa!
KIJANA mwenye umri wa miaka 27 amepanga kuwashtaki wazazi wake kwa kumzaa huko India. Raphael Samuel amesema anajua ni vigumu kwa wazazi kuomba ruhusa kwa mtoto kabla ya kumzaa lakini akasisitiza kuwa haukuwa uamuzi wake…
