Stendi Mpya Mbezi Kuanza Kutumika Nov. 30
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, amesema ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani ya na nchi za nje ya Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 90 na itaanza majaribio ya kuanza kufanya kazi Novemba 25…
