Rihanna akasirika kufananishwa na Karrueche
Mwanamuziki Rihanna.
NEW YORK, Marekani
MWANAMUZIKI Rihanna, amekasirishwa na kitendo cha ‘ex’ wake, Chris Brown kumfananisha na wanawake wengine aliowahi kutoka nao kimapenzi.
Hivi karibuni Chris alipost kwenye Instagram picha…
