Barakah The Prince: Alikopita Ameacha Shida!
JINA Barakah The Prince si geni kwenye Muziki wa Bongo Fleva. Ni miongoni mwa wasanii wa R&B wanaofanya vizuri. Ngoma iliyomtobolea tobo ni Jichunge kisha Siachani Nawe, Nivumilie, Siwezi na Nisamehe. Hadi sasa, ameshapiga…
