×

Tag: Ubelgiji

Kocha wa Ubelgiji Abwaga Manyanga, Ni Baada ya Timu Yake Kutolewa Kombe la Dunia

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji raia wa Hispania Roberto Martinez ameamua kuachia ngazi kwenye nafasi yake ya Kocha...

READ MORE

De Bruyne Ashangazwa na Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi Dhidi ya Canada

NYOTA wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji na klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza Kevin De Bruyne ameshangaa kukabidhiwa...

READ MORE

Mtanzania Anayeishi Ubelgiji Aunga Mkono Juhudi za Rais Samia 

MTANZANIA anayeishi nchini Ubelgiji Sophie Ledani ambaye ni mwanzilishi wa Foundation ya Samaritan VZW Belgium ambayo inasaidia watu wwenye changamoto...

READ MORE

Mahakama Ubelgiji Yaamuru Jino la Lumumba Lirudishwe DRC

MAHAKAMA mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo...

READ MORE

Baba wa Vincent Kompany Awa Meya wa Kwanza Mweusi Ubelgiji

UBELGIJI imechagua meya wa kwanza mweusi kwa mara ya kwanza.  Mtu huyo ni baba wa mwanasoka wa kimataifa Vincnt Kompany...

READ MORE

Ufaransa Yaichapa Ubelgiji, Yatinga Fainali Kombe la Dunia – Video

Timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Dunia baada ya kuifunga Ubelgiji...

READ MORE

Ubelgiji Yaiangamiza Japan Dakika za Nyongeza – Video + Pichaz

TIMU ya Taifa ya Ubelgiji imeipa kichapo Japan na kuiondosha katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya...

READ MORE

Rekodi ya Madaktari Wanaomtibu Lissu Usipime!

HUU ndio ukweli! Madaktari wawili waliobobea wanaomtibu Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu, Profesa Stefaan Nijs na Profesa Willem-Jan Mertsemakers wa...

READ MORE

Lissu Akwea Pipa, Apelekwa Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi

  MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka...

READ MORE

Ndugu 2 waliojilipua Brussels jana watambuliwa

  Ndugu wawili waliojilipua katika milipuko ya kujitoa mhanga jana Ubelgiji Khalid na Brahim el-Bakraoui waliovaa nguo nyeusi. Mwingine kulia anadaiwa...

READ MORE