Mauzo ya Hisa ya DSE Yapaa, Yafikia Trilioni 20.3
MAUZO ya hati fungani katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyoishia tarehe Aprili 13, 2017 yamepaa kutoka thamani ya Shilingi Trilioni 20 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 20.3. ikitokana na kuongezeka kwa bei za hisa…
