Serikali Isaidie Katika Hili la Kupaa Kwa Bei ya Vyakula
Na Eric Shigongo, Uwazi, Napasua Jipu
NIMSHUKURU Mungu kwa kunipa uhai na afya tele leo lakini pia kwa kuwaweka hai nyinyi wasomaji wa makala haya, hakika wote tumhimidi yeye. Wiki iliyopita tulimsikia Waziri wa Viwanda, Biashara na…
