Waje: sina haraka ya kuolewa
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Waje.
MWIMBAJI maarufu wa kike nchini Nigeria, Waje, amesema hana haraka ya kuolewa na jambo hilo litatimia wakati wake ukifika.
Amesema hivi sasa amaelekeza nadhari yake katika muziki na kumhudumia binti…
