×

Tag: zari

Ringtone; Msanii Aliyemhonga Zari Range Akatoswa

UKIINGIA Nairobi, Kenya ukaulizia wasanii wanaoongoza kwa mkwanja ni wazi utaambiwa Akothee mwenye utajiri wa milioni 600 za Kenya (sawa...

READ MORE

Zari Azima Ngebe za Diamond!

DAR ES SALAAM: Dunia inakwenda spidi sana! Miezi kadhaa baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kumwagwa...

READ MORE

Njia za Kukufanya Tajiri Ukiwa na Miaka 20 Hadi 30

SAFARI ya kufikia mafanikio siyo rahisi kama ambavyo wengi wanafikiria. Ni safari ambayo inaweza kuwa ngumu sana hasa pale unapozungukwa...

READ MORE

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha...

READ MORE

IMEVUJA: VIDEO YA DIAMOND NA MOBETO WAKIJIACHIA KITANDANI

IMEVUJA! Video inayomuonyesha msanii maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Paltnumz’ na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto imesambaa mitandaoni ikiwaonyesha...

READ MORE

Siri Bata la Zari Dubai Yaanikwa

DAR ES SALAAM: Wakati suala la mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutanua pande za...

READ MORE

Irene Paul Amwagia Sifa Zari

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewakata vilimi mastaa wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa Bongo kama Zarina...

READ MORE

JIPU PWAAA! Siri mpya Diamond kutembea na Mastaa 17 Yafichuka!

JIPU pwaa! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuvuja kwa siri inayodaiwa kuwa ndiyo chimbuko la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

ZARI ALAMBA SHAVU KAMPUNI YA BONGO, AGOMA KUMZUNGUMZIA DIAMOND

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ leo amesaini mkataba na kuwa balozi wa Kampuni...

READ MORE

Huku Drama za Diamond na Wema Zikinoga, Kule Zari Bata Batani – Picha 7

WAKATI Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiendeleza drama ya mapenzi na aliyekuwa girl friend wake, Wema Sepetu kupitia mitandao...

READ MORE

ZARI KUWAPELEKA WATOTO KANISANI KIBABE, KIMENUKA!

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuonekana akiwapeleka watoto wake kanisani, imeelezwa...

READ MORE

Wa Kuolewa na Diamond ni Huyu!

DAR ES SALAAM: Mara baada ya kumwagana na mama watoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kisha kumuahidi mama...

READ MORE

QUEEN DARLEEN: NAMPENDA SANA ZARI!

MWANAHAWA Abdul ambaye wengi humfahamu kwa jina la Queen Darleen ni ‘first lady’ wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)...

READ MORE

Zari Athibitisha Wema Kuvunja Mahusiano Yake Na Diamond (Video)

Mfanyabiashara na mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amesema kurudiana na Diamond haiwezekani na...

READ MORE

FAMILIA YAGOMA DIAMOND, ZARI KUACHANA!

  SIKU chache baada ya mrembo Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutangaza kummwaga mpenzi wake, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

ZARI ALIVYOMNYAMAZISHA TUNDA

MUUZA nyago machachari kwenye video za wasanii Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kuwa ameufyata mdomo wake kuzungumzia chochote kuhusu aliyekuwa mpenzi...

READ MORE

KWA NINI ZARI KAUMIZWA NA WEMA NA SI MOBETO?

  SIKU chache baada ya Zarinah Hassan ‘Zari Boss Lady’ kuweka wazi kuwa ameachana na baba watoto wake, Nasibu Abdul...

READ MORE

Zari Atangaza Rasmi Kuachana na Diamond

  IKIWA ni siku ya wapendanao,  leo Februari 14, 2018, Mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari...

READ MORE

Mama Diamond Ajitoa Kwa Zari, Mobeto

DAR ES SALAAM: Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim (pichani) amejitoa kwenye gogoro...

READ MORE

Mzee Abdul Awalipua Zari, Mobeto

Wamebutuliwa! Ndiyo msemo unaoweza kuusema baada ya Mzee Abdul, ambaye ni baba mkwe wa wanawake wawili, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Uchangudoa wa Zari Waibua Kimbembe!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kukiri kuwa...

READ MORE

Zari: Bora Mimi Changudoa Mzee Mwenye Mafanikio

Baada ya mwanamitindo Hamisa Mobetto kumtibua upya Zari The Boss Lady ikiwemo kumuita mcheza picha chafu, Zari ajibu mapigo tena....

READ MORE

Hamisa Mobeto Alivyotinga nyumbani Kwao Zari

Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania, Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku akipokelewa kwa shangwe na ndugu...

READ MORE

KABURI LA MME WA ZARI LAFUKULIWA UGANDA

POLISI wilayani Kayunda nchini Uganda inawatafuta watu waliojaribu kulifukua kaburi la marehemu Ivan Ssemwanga lililoko katika kijiji cha Nakaliro usiku...

READ MORE

Hatimaye Mobeto Ambwaga Zari!

NOVEMBA 10, mwaka huu, ilikuwa kicheko kwa upande wa mwanamama mjasiriamali wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

Zari Aliamsha Dude Kwa Mzazi Mwenziye

Mipasho! Mwanamitindo mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The BossyLady’ ambaye aliingia katika mtafaruku wa maisha yake ya kimapenzi, kwa mara nyingine...

READ MORE

Zari Aumbuliwa Na Mitandao Ya Habari Nchini Uganda!

  Wakati akitajwa kuwa mmoja wa wanawake masta-watafutaji na matajiri wa Afrika Mashariki, mwanamama Zarinah Hassan Tlale almaarufu Zari The...

READ MORE

Kimenuka Upya! Soo La Zari, Mobeto Latinga Polisi!

DAR ES SALAAM: Hatimaye lile soo baab’kubwa la bifu kati ya mwanamitindo na video ‘vixen’ matata wa Bongo, Hamisa Hassan...

READ MORE

Familia Yawakalisha Zari na Mobeto

DAR ES SALAAM: Warembo waliokuwa kwenye vita ya maneno, Hamisa Mobeto na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamedaiwa kuwekwa...

READ MORE

KISA UMATI WA WATU, LULU AMPIGIA SALUTI ZARI!

Ule msemo wa nabii hakubaliki kwao! Umeweza kujidhihirisha kwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, na mzazi mwenza wa msanii wa Bongo...

READ MORE

ZARI, BWANA’AKE WAWAFUNGA MIDOMO VIZABIZABINA!

  Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mbongo Fleva, ambao...

READ MORE

Zari ni Habari Nyingine Kabisa… Aisimamisha Mlimani City – Video

MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua...

READ MORE

Baba: Wallah Nitakufa Na Mobeto

BAADA ya hivi karibuni mwanamitindo Hamisa Mobeto kumpeleka mahakamani msanii wa Bongo Fleva kwa madai ya malezi ya mtoto aliyezaa...

READ MORE

Zari Atua Bongo, Atoa kauli ya Kumkacha Mpenzi Wake – Video

MFANYABIASHARA Zari The Bosslady ametua Tanzania, leo jioni  Septemba 13, akitokea nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuzindua duka jipya la...

READ MORE

BAADA YA PRINCE DYLAN, MOBETO SASA KUZAA MAPACHA!

Ukisikia mfanyabiashara Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anakosa usingizi, basi ujue ni kwa sababu ya mwanamitindo Hamisa Mobeto, ambaye...

READ MORE

ZARI: MTOTO WA MOBETO ASIWASHOBOKEE WATOTO WANGU!

  Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia ni nyasi! Hiyo imejidhihirisha kufuatia ‘vita ya penzi’ inayoendelea kuunguruma mitandaoni kati ya mwanamitindo...

READ MORE