ZFF Waionya TFF Mgawo wa Mamilioni ya Fifa
SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limetoa angalizo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhusu mgawo wa dola laki tano (zaidi ya Sh bilioni moja) zinazotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kwa nchi wanachama ili kunusuru…
