×

TAHARUKI! Daraja la Mongo la Ndege Lagawanyika – Video

TAHARUKI na usumbufu wa miundombinu umewakumba wakazi wa Mongo la Ndege, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam baada daraja wanalolitegemea kuvuka kuelekea mjini  kuvunjika kutokana na mvua zilizonyesha kipindi cha nyuma.

Kutoka mtaani, Global TV Ripota amenasa video daraja hilo likiwa limegawanyika huku wananchi wakipata adha ya kuvuka kwenda upande wa pili.

Tutumie video za matukio kama haya kutoka popote ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779, utaklipwa mkwanja mnono papo hapo.

SHUHUDIA VIDEO YA DARAJA HILO