The House of Favourite Newspapers

TANESCO Watangaza Gharama Mpya za Kuunganisha Umeme

0

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limetangaza gharama mpya za kuunganisha umeme, ambapo vijijini ni shilingi 27,000 bila kujali umbali wala idadi ya nguzo na kwa mjini gharama zinaanzia shilingi 272,000 kwa kutegemea umbali toka unapochukulia umeme na idadi ya nguzo.

Leave A Reply