Vazi la Jackline Wolper Gumzo Miss Lakezone -Video
Global Publishers August 5, 2018 4,606 views
SHARE THIS:
VAZI la Muigizaji maarufu wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper limekuwa kivutia kwenye mashindano ya Miss Lakezone yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza.