
Tumeingia mwaka mpya wa 2022, tunatumaini utakuwa ni mwanzo mzuri wa Mipango na Mikakati katika shughuli zao za kila siku ikiwemo utumiaji mzuri wa Mitandao wetu wa Global Publishers , Magazeti yetu na mitandao yetu ya kijamii kwa ujumla.
Kwa dhati kabisa tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya . Tunashukuru kuwa pamoja na familia ya Global Group tunaomba mzidi kuhamasisha na wengine wengi kuwa miongoni mwa familia, ili wapate habari kutoka kwetu.
Tunatoa Shukrani kwa wasomaji wetu wote huku pia tukikaribisha maoni, mapendekezo, ushauri na changamoto yoyote ile mnayokumbana nayo wakati wa kuitumia website yetu ya Global Publishers.
Asanteni sana, na Kheri ya Mwaka Mpya!