The House of Favourite Newspapers

USHUHUDA WA MUNA KUTIKISA DUNIA – VIDEO

Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, amepanga kutoa ushuhuda wa maisha yake siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar Kuanzia Saa nne hadi saa 12 Asubuhi.

 

MUNA LOVE AKIFUNGUKA

Comments are closed.