The House of Favourite Newspapers

Uwoya ni Bata Kwa Kwenda Mbele -Video

Irene Uwoya

ZANZIBAR: Staa ambaye kila kukicha anaibuka na jipya, Irene Uwoya amewaasa watu kuachana na stress zisiso na msingi badala yake wale bata kwa kwenda mbele.

 

Uwoya ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa, hakuna sababu yoyote ya mtu kujiumiza kichwa na kuzibeba stress mgongoni kwa kuwa maisha ni mafupi na kila mtu atajutia muda aliopoteza furaha yake.

 

“Mimi sizitaki stress wala siziendekezi hata siku moja, mimi nakula bata kwa kwenda mbele mpaka mwenyewe najikubali na kuona kichwa changu kiko wazi kabisa na chepesi,” alisema Uwoya.

STORI NA IMELDA MTEMA, GPL

VITUKO VYA MPISHI IRENE UWOYA AKIWA JIKONI ZANZIBAR, ONA HAPA!

Comments are closed.