The House of Favourite Newspapers

Video: Droo Ndogo ya Tatu ya Shinda Nyumba Yatikisa

0
Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bakari Majjid (katikati) akiweka kumbukumbu ya majina ya washindi. Kulia ni Mhariri wa gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli na kushoto anayeshudia ni Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea jana katika Viwanja vya Bakhresa jijini Dar.
Mc Chaku Shemungia (mwenye kofia) akioneshwa kuponi iliyoshinda na mmoja wa wananchi aliyeshiriki kuchagua kuponi ya ushindi.
Mashuhuda wakichanganya kuponi kabla ya kuchagua moja yenye bahati.
Kuponi zikichanganywa haswa, haikuwa mchezo.

 Mkazi wa Tanga Bi. Agness Lymo (54) ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ndogo ya tatu ya Shinda Nyumba iliyochezeshwa jana Jumatano kwenye Viwanja vya Bakhresa jijini Dar.

Leave A Reply