The House of Favourite Newspapers

Video: JIMMY KINDOKI AMLIPUA MANARA ‘Anataka Kiti Changu’

MJUMBE wa kamti ya hamasa Jimmy Kindoki amewaasa wanayanga kuacha kufuatilia maneno ambayo yanaendelea katika mitandao ya kijamii kuhusu Timu yao ambapo itawapotezea muelekeo kuelekea Mechi yao ya marudiano dhidi ya Zesco United ya Zambia.

Yanga na Zesco watakutana Septemba 28 Ndola Nchini Zambia mchezo wao wa marudiano ambapo mchezo wa kwanza walitoka sare ya bao 1-1.

Comments are closed.