VIDEO MPYA: CHRISTIAN BELLA FT AY , MWANA FA – PETE

MSANII wa Bongo Fleva, Christian Bella  baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Boss’ akimshirikisha mwanamitindo Hamisa Mobetto, sasa ameamua kuachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘PETE’ akishirikiana na wakali wawili kutoka hapahapa TZ  AY pamoja Mwana FA ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

 

Loading...

Toa comment