VIDEO MPYA: WAWA SALEGY NA DIAMOND PLATNUMZ – MOTO

KUTOKA kwenye kisiwa cha Madagascer mwanamuziki anafanye vizuri Wawa  Salegy ametuletea vidoe ya nyimbo yake mpya inayoitwa ‘Moto’ aliyomshirikisha nyota anayefanya vizuri kutoka Tz Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz, Vido hii imeongozwa na Director Kenny kutoka Zoom production


Loading...

Toa comment