Video: Mshangao! Mchungaji Aoa Wake 3, Anaishi Nao Nyumba Moja


UKISTAAJABU ya Musa Utayaona ya Firauni! Mchungaji mmoja anayefahamika kwa jina la, David Muhingilwa, Raia wa DR Congo, anayeishi maeneo ya Tegeta Salasala, ameoa wake watatu na wote wanaishi nyumba moja, lakini cha kushangaza zaidi wake hao watatu wameungana wanamtafutia mume wao mke mwingine wa nne..

Global TV imefunga safari mpaka nyumbani kwa Mchungaji huyo na kuzungumza nae pamoja na wake zake, ambao wamefunguka mengi yatakayo kuacha mdomo wazi..


Loading...

Toa comment