Baada ya kufariki kwa Bwana harusi HevenLight Makupa Aliyekuwa anatarajia kufunga ndo siku ya jumamosi tarehe 29/12/2018 katika kanisa la Nuru ya Yesu lililopo Matejo jijini arusha.Kiongozi wa kaniasa hilo Nabii Utukufu kwa Bwana Ameelezea Tukio zima lilivyokuwa kupitia global Tv