The House of Favourite Newspapers

‘WANAOPANGA MIKAKATATI YA URAIS 2020’, CCM YAFUNGUKA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimfafanua kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii ambapo hivi karibuni yameonekana kuzua taharuki baina ya wanachama kutokana na taarifa za uzushi kuwa baadhi ya wananchama wake wameanza kujitengenezea mazingira ya kuwania urais mwaka 2010.

Comments are closed.