The House of Favourite Newspapers

Wanne Wauawa kwa Kupigwa Risasi na Majambazi – Video

0

Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi, tukio lililotokea huko nchini Kenya.

Wakazi wa eneo hilo wameeleza kwa uchungu hali halisi inayoendelea katika eneo hilo, ambapo wameelekeza kilio chao kwa Rais ili aweze kuwahakikishia usalama wa maisha yao.

Leave A Reply