Wasafi Festival Yaacha Historia Dodoma – Video


USIKU wa kuamkia leo Agosti 8, 2019,  ilifanyika shoo ya nne ya Wasafi Festival 2019 mkoani Dodoma, Uwanja wa Jamhuri Stadium, baada ya kufanyika mkoa wa Kagera, Shinyanga na Mwanza.

 

Wakali wa Bongo Fleva,  wakiwemo Diamond Platnumz,  Rayvanny, Queen Darleen, Lavalava,  Gigy Money, Moni Centrozone, Madee, Young Killer Msodoki, Country Boy, Dulla Makabila, DJ Ommy Crazy, Romy Jons na Mbosso, wameandika historia ya kipekee.

Mwanzo-mwisho mashabiki walionekana wakishangilia wakati wasanii hao wakitoa shoo.

Wasafi Festival Dom: Lava Lava Awakotesha Mademu Na Vidume


Loading...

Toa comment