The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Ashiriki Iftari Na Benki Ya Nmb Pamoja Na Watoto Wanaoishi Kwenye Mazingira Magumu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 05, 2025 ameshiriki hafla ya Iftari na Benki ya NMB pamoja na watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.

MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI WAJA NA FURSA KWA WATANZANIA, RAIS SAMIA AUNGWA MKONO NISHATI SAFI..