The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Asisitiza ‘Fomu Ya Uarais Ni Moja Tu’

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumuwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2025.

Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto.

 

 

 

Leave A Reply