The House of Favourite Newspapers

Wizkid kudondoka Fiesta Mwanza Jumamosi

0

16601

Staa wa Nigeria, Wizkid.

Staa wa Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’ amethibitishwa  na Clouds Media Group kupitia akaunti yao ya twitter  kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii. Itakuwa mara ya pili muimbaji huyo kuja Tanzania  mwaka jana alitumbuiza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply