The House of Favourite Newspapers

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Wema Kuhusu Vielelezo vya Bangi

0
Wema Sepetu akiwasili mahakamani hapo na mama yake.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeiahirisha tena kesi inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na wenzake wawili  kwa madai ya kuwa  haijakamikisha kuandaa uamuzi wa  kupokea au kutopokea kielelezo cha msokoto na vipisi vya bangi.

 

Wema Sepetu akiwa mahakamani leo.

Akizungumza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar wakati kesi ikiunguruma, Hakimu Thomas Simba amewaambia mawakili wa serikali na utetezi kuwa hajamaliza kuandaa uamuzi huo kutokana na kazi nyingi kumkabili na hivyo akaiahirisha kesi hiyo hadi Agosti 31 mwaka huu kwa ajili ya kutoa uamuzi pia alisema  Septemba 12 na 13  itaanza  kusikilizwa.

 

NA DENIS MTIMA/GPL

VIDEO: Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Wema Kuhusu Vielelezo vya Bangi

Leave A Reply