The House of Favourite Newspapers

Yanga Wana Balaa! Washusha Kiungo Mshambuliaji Wa ASEC ‘MVP’ – Video

0
Kiungo Zouzoua Pacome (26)

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Zouzoua Pacome (26) raia wa Ivory Coast kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili.

Pacome ambaye anamudu kucheza nafasi ya namba 8 na 10 alikuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu Ivory Coast (MVP) aliwashinda Aubin Kramo wa Simba na Mohamed Zoungrana aliye ukingoni kujiunga na klabu ya MC Alger ya Algeria.

Leave A Reply