The House of Favourite Newspapers

YOUNG KILLER APIGA SHOO ‘AKIWA MZEE’ DAR LIVE (Picha +Video)

Rapa mkali Bongo, Young Killer, akiongea na mashabiki wake Dar Live akiwa katika muonekano wa kibabu.

RAPA mkali Bongo, Young Killer amepiga shoo ya nguvu usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar ambapo ametinga stejini akiwa katika muonekano wa babu.  Ni katika shoo ambayo mwanamuziki nyota, Rayvanny,  aliipa jina la Vanny Day.

Rayvanny aliwapa ‘suprise’ mashabiki wake waliofurika kiwanjani hapo kwa kumpandisha Harmonize kwenye steji kitendo ambacho kilifumua shangwe upya na kufanya eneo lote lizizime kwa shangwe.

…Akipiga picha na mashabiki zake
…Akibadilisha nguo.
…Akitoa burudani.

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

Comments are closed.