ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR
Global Publishers July 31, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Afisa wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Deus Mtana (kulia) akimuonyesha mteja jinsi ya kujiunga na vifurushi vya gharama nafuu vya mtandao huo mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Afisa Usajili wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Hussein Ahmed Abdallah (kushoto) akifafanua jambo kwa mteja mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.Afisa wa Zantel Kassongo Faraji (katikati) akifafanua jambo kwa mteja mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Afisa wa Zantel, Abdallah Mabuga (kulia) akifafanua jambo kwa mkazi na mfanyabiashara wa Mbagala Zakhem Juma Pazi (katikati) mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake. Kushoto ni Afisa usajili wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Hussein Ahmed Abdallah.
Afisa wa Zantel Rehema Tarimu (kushoto) akimsajili Mkazi wa Kongowe jijini Dar es Salaam, Abdul Ally mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini humo mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.