The House of Favourite Newspapers

ZIFAHAMU NYAKATI NNE ILIZOPITIA TANZANIA MPAKA HIVI SASA

0
ZIFAHAMU NYAKATI NNE ILIZOPITIA TANZANIA MPAKA HIVI SASA
                                                                                         Ramani ya Tanzania

KUTOKA uhuru mpaka hii leo, Tanzania imepita katika nyakati kinzani huku ikipambana na changamoto lukuki zilizojitokeza. Bila kupoteza muda, zisome:

  1. 1961 – 1978. Katika wakati huu, Tanzania ilisisitiza misaada bila masharti. Misaada iliyokuwa na masharti ilikataliwa. Umma ulikubaliana na hali hii, hata zikapata kutungwa nyimbo za kupongeza maamuzi haya:

“Maneno ya Nyerere, maneno ya wazee yote sawa;

Kwa kumaliza ukoloni uliotokea, tunawapa heko;

Na tufe njaa la si neno, twakubali yote;

Afadhali umasikini na uhuru kuliko utajiri na utumwa ee!”

 

Msisitizo ni kwamba, Tanzania haikukataa misaada, bali haikupokea misaada yenye masharti, ndiyo sababu kuu kwamba ilikuwa kinara wa upokeaji wa misaada katika ukanda wote wa Afrika ya mashariki.

 

1979 – 1985. Wakati huu Tanzania ilianza kudidimia kiuchumi… SOMA ZAIDI

Leave A Reply