Zitto Kabwe Aanika Rasilimali na Madeni Yake Global Publishers December 30, 2016 4,874 views SHARE THIS: Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT- Wazalaendo na Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe awasilisha fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni yake katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. SHARE THIS: