The House of Favourite Newspapers

Kivuko cha MV Kigamboni chazua taharuki

0

mv kigamboni (2)

Abiria wakiwa wamekumbwa na taharuki baada ya kivuko cha MV Kigamboni kuacha njia leo asubuhi.

Abiria waliokuwa wakisafiri ndani ya Kivuko cha MV Kigamboni jijini Dar es Salaam  mapema leo wamekumbwa na taharuki huku wengine wakijitosa majini baada ya kivuko hicho kupoteza mwelekeo na kuacha njia majini.

Inadaiwa chanzo cha taharuki hiyo ni kuzidisha abiria pamoja na mizigo kwenye kivuko hicho.

mv kigamboni (1)

Abiria wakipewa maelekezo jinsi ya kutoka kwenye kivuko hicho.

Leave A Reply