UHAKIKI WA RIWAYA: WATOTO WA MAMA N’TILIE (sehemu ya tatu)
MIGOGORO
- Migogoro ya wahusika.
- Mzee Lomolomo na Mama Nt’ilie. Chanzo cha mgogoro huu ni tabia ya ulevi ya Mzee Lomolomo. Suluhisho la mgogoro ni kifo cha Lomolomo.
- Zita na Kulwa. Chanzo cha mgogoro ni Peter kumpeleka Kulwa nyumbani kwao ili wakaishi pamoja. Suluhisho la mgogoro huu ni Peter kuingilia kati na kuamua ugomvi.
- Peter na Doto. Chanzo cha mgogoro huu ni mwalimu Chikoya kuwafukuza shule wanafunzi hawa… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
[…] Mama N’tilie […]